Mungu ni mmoja Lyrics by Bella Kombo ft Evelyn Wanjiru & Neema Gospel Choir

Mungu ni mmoja Lyrics

Ayaee Ayaee
The king of Glory is Here
Ayaee Ayaee Eeh
Ayaee
God is Here

Utamuambia nini ukimuona,
utamuambia nini ukimuona
Tunainama, tunasujudu,
Mungu ni mmoja tu

Ayaee Ayaee
The king of Glory is Here
Ayaee Ayaee Eeh
Ayaee
He is Here

Ayaee Ayaee
The king of Glory is Here
Ayaee Ayaee Eeh
Ayaee
He is Here

Ayaee Ayaee
The king of Glory is Here
Ayaee Ayaee Eeh
Ayaee
He is Here

So Mungu yuko mmoja tu
Yeye niko ambaye Niko
Pokea sifa za mioyo yetu
Mungu ni mmoja tu

So Mungu yuko mmoja tu
Yeye niko ambaye Niko
Pokea sifa za mioyo yetu
Mungu ni mmoja tu

Ayaee Ayaee
The king of Glory is Here
Ayaee Ayaee Eeh
Ayaee
He is Here

Ayaee Ayaee
The king of Glory is Here
Ayaee Ayaee Eeh
Ayaee
He is Here

Ashera Ooh Dagon Ooh
Baali Miungu ya kigeni
Wameanguka, wamevunjika
Mungu uko mmoja tu

Ashera Ooh Dagon Ooh
Baali Miungu ya kigeni
Wameanguka, wamevunjika
Mungu uko mmoja tu

Ashera Ooh Dagon Ooh
Baali Miungu ya kigeni
Wameanguka, wamevunjika
Mungu uko mmoja tu

Ashera Ooh Dagon Ooh
Baali Miungu ya kigeni
Wameanguka, wamevunjika
Mungu yuko mmoja tu

(Lift up your hands towards heaven this evening)

Inua mikono yako juu kwa Yesu,
Mahali hapa maana yuko hapa
Hautoki hapa vile ulikuja hapa
Wengine wenu wamebeba mizigo mingi
Wengine wenu wamelemewa hawajui watazame wapi
Nataka utazame Mungu aliye juu maana anabadilisha situation yako
Inua mikono yako juu kwa Yesu,


Ayaee Ayaee
The king of glory is Here
Ayaee Ayaee Eeh
Ayaee God is Here

Ayaee Ayaee
The king of glory is Here
Ayaee Ayaee Eeh
Ayaee God is Here

Ayaee Ayaee
The king of glory is Here
Ayaee Ayaee Eeh
Ayaee God is Here

Ayaee Ayaee
The king of glory is Here
Ayaee Ayaee Eeh
Ayaee He is Here

Ayaee Ayaee
The King of Glory is Here
Ayaee Ayaee Eeh
Ayaee He is Here

Ayaee Ayaee
The King of Glory is Here
Ayaee Ayaee Eeh
Ayaee He is Here

179 Views

No comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: The Content is protected !!