Yesu nakupenda kwa roho yangu yote,
Majaribu yakija nisaidie kushinda,
Yesu nakupenda kwa roho yangu yote,
Majaribu yakija nisaidie kushinda.
Kwa vile ulishinda,wewe yu Mwamba,
Yesu Ulishinda,We ni Simba wa Yuda,
Ulishinda wewe yu Mwamba,
Yesu Ulishinda,We ni Simba wa Yuda.
Ni ajabu gani Mungu kaniumba,
Kwa mikono yake, pia mfano wake,
Ni ajabu gani Mungu kaniumba,
Kwa mikono yake, pia mfano wake.
Kwa vile ulishinda,wewe yu Mwamba,
Yesu Ulishinda,We ni Simba wa Yuda,
Ulishinda wewe yu Mwamba,
Yesu Ulishinda,We ni Simba wa Yuda.
Akili ukanipa, kufikiri
Ukanipa mikono kufanya kazi yako.
Akili ukanipa, kufikiri
Ukanipa mikono kufanya kazi yako.
Kwa vile ulishinda,wewe yu Mwamba,
Yesu Ulishinda,We ni Simba wa Yuda,
Ulishinda wewe yu Mwamba,
Yesu Ulishinda,We ni Simba wa Yuda.
Ulinipa sikio niweze kusikia,
Ukanipa ulimi miweze kukuimbia,
Ulinipa sikio niweze kusikia,
Ukanipa ulimi miweze kukuimbia.
Kwa vile ulishinda,wewe yu Mwamba,
Yesu Ulishinda,We ni Simba wa Yuda,
Ulishinda wewe yu Mwamba,
Yesu Ulishinda,We ni Simba wa Yuda.
Ukanipa miguu, ya kutembea,
Yanipasa nimsifu aliye niumba,
Ukanipa miguu, ya kutembea,
Yanipasa nimsifu aliye niumba.
Kwa vile ulishinda,wewe yu Mwamba,
Yesu Ulishinda,We ni Simba wa Yuda,
Ulishinda wewe yu Mwamba,
Yesu Ulishinda,We ni Simba wa Yuda.
Ukaniweka roho idunde kila saa,
Ukaniweka macho nione kila kitu,
Ukaniweka roho idunde kila saa,
Ukaniweka macho nione kila kitu.
Kwa vile ulishinda,wewe yu Mwamba,
Yesu Ulishinda,We ni Simba wa Yuda,
Ulishinda wewe yu Mwamba,
Yesu Ulishinda,We ni Simba wa Yuda.
Asifiwe Mungu mwenye hekima yote,
Hesabu ya nywele yangu pia anaijua.
Asifiwe Mungu mwenye hekima yote,
Hesabu ya nywele yangu pia anaijua.
Kwa vile ulishinda,wewe yu Mwamba,
Yesu Ulishinda,We ni Simba wa Yuda,
Ulishinda wewe yu Mwamba,
Yesu Ulishinda,We ni Simba wa Yuda.
Kwa vile UlishindaRegina MuthoniRegina Muthoni musicSwahili Gospel LyricsYesu Ulishinda Lyrics

No comment