Swahili Gospel Lyrics

October 3, 2025

Yesu Ulishinda Lyrics by Regina Muthoni

Yesu nakupenda kwa roho yangu yote,Majaribu yakija nisaidie kushinda,Yesu nakupenda kwa roho yangu yote,Majaribu yakija nisaidie kushinda. Kwa vile ulishinda,wewe yu Mwamba,Yesu Ulishinda,We ni Simba wa Yuda,Ulishinda wewe yu Mwamba,Yesu Ulishinda,We ni Simba wa Yuda. Ni ajabu gani Mungu kaniumba,Kwa mikono ... Read More »

October 03, 2025 0

Sisi Ni Wale Lyrics by Phina

Sisi ni wale tuliosaidiwa na MunguSisi ndo wale tuliobarikiwa na BabaSisi ni wale tuliosaidiwa na MunguSisi ndo wale tuliobarikiwa na Baba Sina hela, sina pesa, sina dohSina nyumba sina gari, sina oohKila kukikucha mi naiwaza keshoNapiga moyo konde nitafika ooh Wanaokudharau ... Read More »

September 29, 2025 0

September 15, 2025

Yebo /Nitawale Lyrics by Vestine and Dorcas

Mwokozi wangu, nakuhitaji zaidi,Na moyo wangu, unalia uwepo wako,Nimejaribu on my own, lakini siwezi,Nakutegemea, usiniache kamwe. Nikiwa bado napumua,Jina lako ndilo nitajivunia,Tena sitaki kitu cha kunikataza,Kuwa chombo chako. Sauti yako ikaniita,Vingine vyote mimi kakataa,Nifiche ndani ya mabawa yako,Nifike mwisho wa safari. Najua ... Read More »

September 15, 2025 0

error: The Content is protected !!