Mtuliza dhoruba bahari inatulia amenisaidia,
Mtetezi wangu huyu kwa neema yake amenishidia,
Kwenye milima na mabonde,Nijapo pitia magumu,
Ni Mungu hunipa ushindi.
Kwenye milima na mabonde,Nijapo pitia magumu,
Ni Mungu hunipa ushindi.
Sisi ni wale wale ee
Wale ee Wale ee
Tunaosaidiwa na Mungu wetu,
Sisi ni wale wale ee
Wale ee Wale ee
Tunaosaidiwa na Mungu wetu,
Danieli alipotupwa tunduni mwa simba,
Walidhani yeye ataangamia,
Lakini huyu Mungu tunaye mwamini pia, alimsaidia aa
Tunaye mwamini, tunaye mtumainia,
Yeye ana nguvu za kukushindia vita vyote,
Tunaye mwamini, tunaye mtumainia,
Yeye ana nguvu za kukushindia vita vyote.
Sisi ni wale ee
Wale ee Wale ee
Tunaosaidiwa na Mungu wetu,
Sisi ni wale wale ee
Wale ee
Tunaosaidiwa na Mungu wetu,
Tutamwimbia Mwokozi wetu,
Kwa kuwa sisi tunasaidiwa na Mungu wetu,
Tutamwimbia Mwokozi wetu,
Kwa kuwa sisi tunasaidiwa na Mungu wetu,
Tutamsifu Mungu wetu,
Kwa kuwa sisi tunasaidiwa na Mungu wetu,
Tunamsifu Bwana,
Kwa kuwa sisi tunasaidiwa na Mungu wetu,
Sisi ni wale wale ee
Wale ee Wale ee
Tunaosaidiwa na Mungu wetu,
Sisi ni wale ee
Wale ee Wale ee
Tunaosaidiwa na Mungu wetu.
Sisi ni wale ee
Wale ee Wale ee
Tunaosaidiwa na Mungu wetu.
John Praise WaweruKigoocokikuyu gospelKikuyu LyricsPhyllis MbuthiaSisi ni wale

No comment