Sisi ni wale
July 3, 2023
Sisi Ni Wale by Phyllis Mbuthia ft John Praise Waweru
Mtuliza dhoruba bahari inatulia amenisaidia,Mtetezi wangu huyu kwa neema yake amenishidia,Kwenye milima na mabonde,Nijapo pitia magumu,Ni Mungu hunipa ushindi.Kwenye milima na mabonde,Nijapo pitia magumu,Ni Mungu hunipa ushindi. Sisi ni wale wale eeWale ee Wale eeTunaosaidiwa na Mungu wetu,Sisi ni wale ... Read More ยป
July 03, 2023
0
