Baba wa mbinguni
Mapenzi yako yatimizwe
Baba wa mbinguni
Mapenzi yako yatimizwe
Baba (Baba) wa mbinguni
Mapenzi yako yatimizwe
Baba (yangu) wa mbinguni
Mapenzi yako yatimizwe
Haapaa
Duniani…
Kama mbinguni
Mapenzi yako yatimizwe
Haapaa (Duniani)
Duniani kama mbinguni
Mapenzi yako yatimizwe.
Ninajua mipango yako kwangu
Ni kwa wema ooh na faida
Naelewa kusudi lako
Ehh mapenzi yako (Baba) Yatimizwe
Ninajua mipango yako kwangu
Ni kwa wema na faida
(Sasa) Naelewa kusudi lako
Ni mapenzi yako yatimizwe
Haapaa
Duniani…
Kama mbinguni
Mapenzi yako yatimizwe
(Yatimizwe)Haapaa
Duniani kama mbinguni
Mapenzi yako yatimizwe.
Haapaa
Duniani…
Kama mbinguni
Mapenzi yako yatimizwe
Haapaa
Duniani.Duniani
Kama mbinguni
Mapenzi yako yatimizwe.
Mapenzi yako yatimizwe.
Kusudi lako nalo
Mapenzi yako yatimizwe.
Mapenzi yako yatimizwe.
Mapenzi yako yatimizwe.
Mapenzi YakoMapenzi Yako Lyrics by Monicah wa Favour ft Izoe SakisMonica wa FavourSwahili Lyrics
No comment