Swahili Lyrics

January 28, 2025

Siwezi Mimi Lyrics by Alarm Ministries

Usinifiche vyote upendavyoIli nisitende mabayaNifahamishe njia zakoMaisha yangu yakutukuze Usinifiche vyote upendavyoIli nisitende mabayaNifahamishe njia zakoMaisha yangu yakutukuze Usinifiche vyote upendavyoIli nisitende mabayaNifahamishe njia zakoMaisha yangu yakutukuze *4Ni wewe peke yako eeh JehovahNayainulia macho yanguUkinitia nguvu nitashindaNakuamini wewe Mungu wangu Ni wewe ... Read More »

January 28, 2025 0

Mapenzi Yako Lyrics by Monicah wa Favour ft Izoe Sakis

Baba wa mbinguniMapenzi yako yatimizweBaba wa mbinguniMapenzi yako yatimizwe Baba (Baba) wa mbinguniMapenzi yako yatimizweBaba (yangu) wa mbinguniMapenzi yako yatimizwe HaapaaDuniani…Kama mbinguniMapenzi yako yatimizweHaapaa (Duniani)Duniani kama mbinguniMapenzi yako yatimizwe. Ninajua mipango yako kwanguNi kwa wema ooh na faidaNaelewa kusudi lakoEhh mapenzi yako ... Read More »

January 07, 2025 0

February 10, 2024

Sikiliza Lyrics by Israel Mbonyi

Kwa Sasa ya duniaKwangu Ni kama yameangikwaYaliyokuwa faidaNayahesabu kama hasaraSikiliza dunia Ujue kwamba mimi si wako.Sikiliza dunia Ujue kwamba mimi si wako. Nimehesabiwa hakiKwa damu yake muteteziJina langu Limeandikwa,Kwenye kitabu cha uzimaSikiliza dunia ,Ujuwe kwamba mimi si wakoSikiliza dunia ,Ujuwe ... Read More »

February 10, 2024 2

error: The Content is protected !!