Siwezi Mimi Lyrics by Alarm Ministries

Usinifiche vyote upendavyo
Ili nisitende mabaya
Nifahamishe njia zako
Maisha yangu yakutukuze

Usinifiche vyote upendavyo
Ili nisitende mabaya
Nifahamishe njia zako
Maisha yangu yakutukuze

Usinifiche vyote upendavyo
Ili nisitende mabaya
Nifahamishe njia zako
Maisha yangu yakutukuze *
4

Ni wewe peke yako eeh Jehovah
Nayainulia macho yangu
Ukinitia nguvu nitashinda
Nakuamini wewe Mungu wangu

Ni wewe peke yako eeh Jehovah
Nayainulia macho yangu
Ukinitia nguvu nitashinda
Nakuamini wewe Mungu wangu
Nakuamini wewe Mungu wangu
Nakuamini wewe Mungu wangu

Siwezi mimi,Siwezi mimi,
Kushinda mambo ya shetani
Ukinifunza kupambana
Nitashinda tena Zaidi

Siwezi mimi,Siwezi mimi,
Kushinda mambo ya shetani
Ukinifunza kupambana
Nitashinda tena Zaidi *3

114 Views

No comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: The Content is protected !!