Israel Mbonyi
July 30, 2024
Heri Taifa Lyrics by Israel Mbonyi
Nikasikia sauti nyikaniTengenezeni njiya yake,Nyosheni mapitoo yake Sogeleeni kiti cha neemaMpate utakasoOh what a blessingOh what a grace Heri aoshae,Kanzu yake ndani ya damuAkili amini neno alilo ambiwa naeAtakua kama Mti kando ya majiMajani yake huyo,Yatakua ma bichi daima. Heri walio na ... Read More »
May 31, 2024
Yanitosha Lyrics by Israel Mbonyi
Nimesulubiwa nae, lakini mi niko hai;Si mimi tena, Kristo ndani yanguNitajisifia udhaifu wangu, kwa furaha nyingiIli uweza wake ukae juu yangu Yote nitendayo ni kwa imani,Sitaibatili neema ya Mungukamwe Yanitosha neema ya MunguNdio uzima kuyatambuwaKwenye mapungufu yanguNdipo nguvu zake, ZatiimiyaKwenye mapungufu ... Read More »
February 10, 2024
Sikiliza Lyrics by Israel Mbonyi
Kwa Sasa ya duniaKwangu Ni kama yameangikwaYaliyokuwa faidaNayahesabu kama hasaraSikiliza dunia Ujue kwamba mimi si wako.Sikiliza dunia Ujue kwamba mimi si wako. Nimehesabiwa hakiKwa damu yake muteteziJina langu Limeandikwa,Kwenye kitabu cha uzimaSikiliza dunia ,Ujuwe kwamba mimi si wakoSikiliza dunia ,Ujuwe ... Read More »
November 28, 2023
AMENISAMEHE BY ISRAEL MBONYI
Damu yake iliyomwagika Imeshinda hukumu yoteImeniweka huru tele Ninaimba nimesamehewaAmeniwaka huru télé Ninaimba amenisamehe Utakatifu na Umungu alivua Kakubali kufunua kile kitabuKaja tafuta aliyepotea Huyo ni mi niliyemsulubisha Nyalaka za mashitaka zilikuwa nyingi Babiloni yote ilijua jina languIla baada ya kifo ... Read More »