AMENISAMEHE BY ISRAEL MBONYI

Damu yake iliyomwagika Imeshinda hukumu yote
Imeniweka huru tele Ninaimba nimesamehewa
Ameniwaka huru télé Ninaimba amenisamehe

Utakatifu na Umungu alivua Kakubali kufunua kile kitabu
Kaja tafuta aliyepotea Huyo ni mi niliyemsulubisha

Nyalaka za mashitaka zilikuwa nyingi Babiloni yote ilijua jina langu
Ila baada ya kifo chake Damu yake Yesu ilishinda hukumu

Sikiliza we mlima nikwambie Nimesimika bendela ya ukumbusho
Nitarudi nikushuhudie, amenibadisha akanipa jina jipya
Sitaomdoa mguu wangu katika hilo bwawa la damu yake Yesu

Mimi sio tena wanayenitegemea Bali yule Mungu anae nitakia
Menibadilisha kwa damu yake Amefuta majina ya kale akanipa jina jipya

Wengi walifikiri mi ni yule wa kale Wengi walidhani bado natenda ya kale
Sikilizeni nimebadilishwa, amefuta majina ya kale akanipa jina jipya

860 Views

You may also like ...

1 Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: The Content is protected !!