Swahili Gospel
May 31, 2024
Yanitosha Lyrics by Israel Mbonyi
Nimesulubiwa nae, lakini mi niko hai;Si mimi tena, Kristo ndani yanguNitajisifia udhaifu wangu, kwa furaha nyingiIli uweza wake ukae juu yangu Yote nitendayo ni kwa imani,Sitaibatili neema ya Mungukamwe Yanitosha neema ya MunguNdio uzima kuyatambuwaKwenye mapungufu yanguNdipo nguvu zake, ZatiimiyaKwenye mapungufu ... Read More »
May 31, 2024
0