Amefanya Mungu Lyrics by Wapendwa Muziki

Amenivua vazi la aibu,
Na moyo wangu akatibu,
Sina budi ila nimsifu.

Ona, vile amefanya Mungu,
Ona, vile amefanya Mungu,
Ni yeye, ni yeye, amefanya Mungu,
Ni yeye, ni yeye, amefanya Mungu,

Ona, vile amefanya Mungu,
Ona, vile amefanya Mungu,
Ni yeye, ni yeye, amefanya Mungu,
Ni yeye, ni yeye, amefanya Mungu,

Nina jambo, nina jambo ninatamani niseme,
Jamani nina jambo, ninatamani niseme,
Umenifunika na neema yako,
Tena umenifadhili mimi,
Umeondoa vizuizi,
Kwa mkono wako Baba umenibariki.

Umenihurumia mimi,
Umenikumbumbuka mimi,
Umeondoa vizuizi,
Kwa mkono wako Baba umenibariki.

Ona, vile amefanya Mungu,
Ona, vile amefanya Mungu,
Ni yeye, ni yeye, amefanya Mungu,
Ni yeye, ni yeye, amefanya Mungu,

Ona, vile amefanya Mungu,
Ona, vile amefanya Mungu,
Ni yeye, ni yeye, amefanya Mungu,
Ni yeye, ni yeye, amefanya Mungu,

Ame-amenipendelea aaa
Yesu, ame-amenipendelea aaaa,
Ame-amenipendelea aaa
Yesu, ame-amenipendelea,

Nimependeza, kwake nina metameta,
Nimependeza, kwake nina metameta
Nimependeza, kwake nina metameta,
Nimependeza, kwake nina metameta,

Ona, vile amefanya Mungu,
Ona, vile amefanya Mungu,
Ni yeye, ni yeye, amefanya Mungu,
Ni yeye, ni yeye, amefanya Mungu,

Nimependeza, kwake nina metameta,
Nimependeza, kwake nina metameta
Nimependeza, kwake nina metameta,
Nimependeza, kwake nina metameta,

195 Views

1 Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: The Content is protected !!