Vestine and Dorcas
September 15, 2025
Yebo /Nitawale Lyrics by Vestine and Dorcas
Mwokozi wangu, nakuhitaji zaidi,Na moyo wangu, unalia uwepo wako,Nimejaribu on my own, lakini siwezi,Nakutegemea, usiniache kamwe. Nikiwa bado napumua,Jina lako ndilo nitajivunia,Tena sitaki kitu cha kunikataza,Kuwa chombo chako. Sauti yako ikaniita,Vingine vyote mimi kakataa,Nifiche ndani ya mabawa yako,Nifike mwisho wa safari. Najua ... Read More »
September 15, 2025
0
